Friday, 4 October 2013

Jela kwa kucheza dansi uchi Saudia Imebadilishwa: 4 Oktoba, 2013 - Saa 03:59 GMT Facebook Twitter Google+ Tuma kwa rafiki yako Chapisha . Mahakama nchini Saudi Arabia, imewahukumu wanaume wane vifungo jela na dhabu ya maelfu ya mijeledi baada ya mmoja wao kunaswa kwenye video akicheza dansi juu ya gari akiwa uchi. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari nchini humo, wananume hao walishtakiwa kwa kosa la kucheza dansi juu ya gari hadharani na kukiuka maadili ya umma. Taarifa zinazohusianaSiasaHata hivyo wamepewa ruhusa ya kukata rufaa. Saudi Arabia inafuata sharia kali za kiisilamu, ambazo zinaweka vikwazo vingo vya kijamii na hata kuharamisha maeneo ya hadhara ya kujitumbuiza. Tukio hilo lilitokea katika eneo lijulikanalo kama Borayda, mji mkuu wa mkoa wa al-Qasseem Kaskazini Magharibi mwa mji mkuu Riyadh, na kanda ya vitu walivyovifanya kuwekwa kwenye mtandao. Mwanamume aliyepatikana na hatia ya kucheza dansi akiwa uchi alipokea adhabu kali kuliko wote ya kifungo cha miaka kumi jela , kuchapwa viboko 2,000 na kutozwa faini ya dola 13,000. Mshukiwa mwingine alipatikana na hatia na kufungwa jela miaka saba pamoja na kupokea mijeledi 1,200 wakati wengine wawili wakifungwa jela kwa miaka mitatu kila mmoja na kupokea adhahbu ya mijeledi miatano, kila mmoja. Kulingana na vyombo vya habari nchini humo, mwendesha mashtaka ya umma, alipinga kile alichokiita adahabu nyepesi. Duru zinasema kuwa Mkoa wa al-Qasseem unafuata sharia kali sana za kiisilamu na polisi wa kidini ndio wakali zaidi kuliko wote. Kwa hisani ya bbc
Muhubiri wa kiisilamu auawa Mombasa Imebadilishwa: 4 Oktoba, 2013 - Saa 08:58 GMT Salim Adbi pekee ndiye aliyenusurika kifo Kiongozi mmoja wa dini ya kiisilamu ameuawa kwa kupigwa risasi pamoja na watu wengine mjini Mombasa, Pwani ya Kenya. Haijulikani aliyetekeleza mauaji hayo ya usiku wa kuamkia leo huku kukiendelea kuwa na hali ya wasiwasi miongini mwa waisilamu na maafisa wa usalama mjini humo. Taarifa zinazohusianaKenyaSheikh Ibrahim Rogo alikuwa muhubiri katika msikiti alipokuwa akihubiri marehemu Sheikh Aboud Rogo ambaye pia aliuawa kwa kupigwa risasi. Aliuawa na watu wengine watatu walipokuwa wanrejea nyumbani Alhamisi usiku baada ya kuhubiri. Sheikh Rogo alishutumiwa kutoa mafunzo yenye itikadi kali yaliyowashawishi vijana kujiunga na makundi ya kigaidi kama Alshaabab. Marehemu Aboud Rogo alidaiwa kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la Al Shabaab Mauaji haya ni sawa na ya marehemu Aboud Rogo Mohammed mwaka jana na ambayo yalisababisha ghasia mjini humo. Yanakuja wiki mbili tu baada ya shambulizi la kigaidi lililofanywa dhidi ya jumba la maduka la Westgate ambapo watu 67 waliuawa Kundi la kigaidi la al-Shabab lilikiri kufanya mashambulizi hayo ya kigaidi. Aboud Rogo alidaiwa kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la al-Shabab na baadhi ya waisilamu walioshutumu polisi waliomuua walisema kuwa yalikuwa madai tu wala. Ibrahim Rogo alionekana kama mrithi wa marehemu Aboud Rogo, alipohutubu katika msikiti huo.
Wassira, Chikawe, Sophia Simba wang`ang`aniwa Na Thobias Mwanakatwe 1st October 2013B-pepeChapa Wadaiwa kumpotosha Rais Maandamano nayo yaiva Sophia SimbaBunge. Vyama hivyo vimeungana kupinga mchakato wa katiba baada ya wabunge wa CCM na Mbunge wa TLP, Augustine Mrema kuupitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya katiba wa mwaka 2013 katika Mkutano wa 12 wa Bunge usisainiwe na Rais kutokana na baadhi ya vifungu kuingizwa kinyemela na pia umehodhiwa na CCM. Viongozi wa Kamati ya Ufundi ya Ushirikiano wa Vyama hivyo wakizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam walisema maandalizi kwa ajili ya maandamano hayo yatakayofanyika Oktoba 10 mwaka huu, yameanza kufanyika baada ya kuwasiliana na viongozi wa mikoa yote. Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika, alisema wakati maandalizi kwa ajili ya maandamano hayo, viongozi wakuu wa vyama hivyo, James Mbatia, Profesa Ibrahim Lipumba na Freeman Mbowe wataendelea kukutana na makundi mbalimbali kuwaunga mkono kushinikiza muswada huo usisainiwe. “Tunatambua haki zilizopo katika katiba kwa wananchi kutotii mambo yasiyofaa, tunataka makundi mengine ya kijamii nayo yatumie njia nyingine kupinga muswada huo, akija mtu kwamba tusiandamane hatutatii, hatuwezi kuwatii watu wanaovunja sheria,” alisema. Mnyika ambaye pia ni Mbunge wa Ubungo, alisema katika kipindi hiki vyama hivyo havitakuwa tayari kujadiliana na serikali kwa kuwa viongozi wa vyama hivyo walishafanya hivyo Ikulu na bungeni, lakini bado serikali ikaamua kupeleka muswada usiofaa na kuupitisha kibabe bungeni. Alisema Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano) na Uratibu, Stephen Wassira; Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, waache kumtisha Rais kwamba asiposaini muswada huo ataingia katika mgogoro na Bunge. Aliongeza kuwa mawaziri hao lazima watambue siyo jambo la ajabu Rais kutosaini muswada kwa sababu katiba ya 1977 inaeleza asiposaini anaurejesha bungeni na kutoa maelezo, hivyo utakaporejeshwa hata wabunge wa CCM watashiriki kuufanyia marekebisho. “Wassira, Chikawe na Simba kama wana hofu kwamba Bunge litavunjwa iwapo muswada utarejeshwa mara tatu wajiuzulu nyazifa zao ili Rais ateue mawaziri wengine watakaosimamia mchakato wa katiba ili isiitumbukize nchi katika machafuko,” alisema. Mkurugenzi wa Habari CUF, Abdul Kambaya, alisema kauli za viongozi wa serikali wa Tanzania Bara na Visiwani zimevipa nguvu vyama vya CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi kuendelea na mchakato wa kupinga muswada usisainiwe. Alisema viongozi hao kwa nyakati tofauti wamenukuliwa wakieleza kuwa kuna mapungufu yaliyopo katika muswada huo, ikiwamo suala la kutoshirikisha wananchi wa Zanzibar katika kutoa maoni. KAULI YA WASSIRA Waziri Wassira alipotafutwa kuzungumzia tuhuma za kumtisha Rais Kikwete, alisema maoni ya wapinzani hajayaona isipokuwa atakapoyasoma kwenye vyombo vya habari atawajibu kwa kuwa naye ana mdomo. WAZIRI CHIKAWE Waziri Chikawe alipoulizwa kuhusiana na kauli za kutakiwa ajiuzulu, alikataa kuzungumza na kumtaka mwandishi amtafute leo. “Magazeti mpaka sasa hivi (jana saa 1:15 usiku), nitafute kesho ofisini,” alisema. SOPHIA SIMBA Naye Sophia Simba alisema kauli za wapinzani hazimtishi kwa kuwa hawezi kukaa kimya huku watu wakipotoshwa kuhusu suala la mchakato wa katiba. Tangu muswada huo upitishwe, kumekuwapo na shinikizo kubwa kutoka kwa vyama vitatu vya upinzani na makundi ya wanaharakati. Vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na Chadema vimeshaungana kuupinga muswada huo kwamba utaleta katiba mbaya kutokana na mchakato mzima kuhodhiwa na CCM. Wenyeviti wa vyama hivyo, Profesa Lipumba (CUF), Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Mbowe (Chadema) wamekwisha kufanya mikutano miwili ya hadhara jijini Dar es Salaam na Zanzibar kwa lengo la kuwashawishi wananchi waupinge mchakato wa katiba. Kuvunjwa kwa Tume kabla ya kura ya maoni pia ni moja ya hoja zinazotumiwa na upinzani kupinga mchakato wa katiba kwa maelezo kuwa hatua hiyo itasababisha kutokuwapo na mjumbe halali wa Tume wa kwenda kutoa maelezo katika bunge la katiba ikiwa watahitajika kwa kuwa watakuwa wameshapoteza uhalali wa kuwa wajumbe. Pia muungano huo unapinga muswada huo kwa kuwa haukuzingatia maoni ya Zanzibar kwa kuwa hawakushirikishwa kabla ya kuwasilishwa bungeni. CHANZO: NIPASHE
JKT yaongeza nafasi kwa vijana kwa mujibu wa sheria Na Jimmy Mfuru 3rd October 2013B-pepeChapa Askari wanafunzi (makuruta) wakiimba wimbo baada ya mufunzo ya kijeshiJeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kuongeza idadi ya vijana 5,278 kwa wahitimu waliomaliza kidato cha sita wanaotakiwa kujiunga na mafunzo hayo kwa awamu ya tatu katika kambi zake kwa mujibu wa sheria. Kwa mujibu wa tangazo lilitolewa kwenye tovuti ya jeshi hilo jana

Thursday, 19 September 2013

JK warns Tanzanians caught trafficking drugs

'My government shall not defend them'

19th September 2013

 
President Jakaya Kikwete greets Tanzanians living in California, yesterday, during his ongoing official visit to the US. (Photo: State House)
President Jakaya Kikwete has said his government will not defend Tanzanians arrested in any part of the world trafficking drugs.

Addressing Tanzanians living in San Francisco, California, President Kikwete made it clear that his government shall not in any way defend nationals apprehended in drug deals anywhere in the world.

“If you are arrested for being involved in the drug business, the government shall not in any way defend you because the laws of different countries prohibit this hideous business,” he said.

He added: “We cannot continue to be branded a country of drug dealers. The government can only defend nationals living abroad if they are mistreated, but not for being involved in drug business, rape or any other criminal acts,” the President said during his two-day official visit to California, in the US.

His remarks are based on the fact that drug trafficking business is illegal in most countries in the world.

The President’s remarks come after the recent arrest of a number of Tanzanians in different countries over allegations of drug trafficking.
He called on Tanzanians living in the Diaspora to respect the laws in their countries of residence.

“It is imperative to behave as good citizens. You decided on your own to come and live here. You should therefore know that these countries have their own laws. If you decide to become bad citizens – as the British say – ‘You will face the music’. And sometimes the music that you will face may not be enjoyable,” he warned.

In another development, President Kikwete told Diaspora Tanzanians that he was not sure if the issue of dual citizenship would have room in the new Constitution.
This, he said, is due to the fact that the issue is not in the Draft Constitution currently being debated back home.

However, he said, the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) has simply proposed that that the issue of dual citizenship should have a place in the new Constitution.
“As CCM we discussed the issue of dual citizenship and treated it is as a new proposal. We want it to be discussed but we are not sure whether it will have a place in the second draft or not,” he said.

He added: “We shall keep pushing it though, but to be sincere, it is not an issue that is likely to gather much support since very few Tanzanians live in the Diaspora,” he explained.

Meanwhile, President Kikwete has said Tanzania cannot continue to depend on donations in its struggle to fast track the country’s development.
To ensure that Tanzania speeds up development, the country has started appointing goodwill ambassadors in various countries.

“We cannot continue to be a country that depends on donations. We have relied on donations for a long time and we think now it is enough. We have to change and rely on big investments and businesses between Tanzania and other countries in the world,” he said at the official investiture of Ahmed Nassoro Issa Al Qasimi as Tanzania’s goodwill ambassador to California on Monday.

According to President Kikwete, the duty of a goodwill ambassador is to represent Tanzania’s interests in the country of accreditation.
He said Tanzania's policy is to have many such envoys, especially in economically rich countries where the official ambassador alone is not enough. 
SOURCE: THE GUARDIAN

Sunday, 15 September 2013

Why constitution writing process is getting complicated

The way the Constitutional Review (Amendment) Bill of 2013 has been passed in the just ended Parliament session which had this proposed legislation as one of the important items on its loaded agenda, has definitely left keen observers wondering whether we are still on the right track as far as our desire to bring effective constitutional changes is concerned.
Optimists in our midst are simply saying “let us wait and see” while doubting Thomases contend that the future is not all that promising, and if we are not careful we may end up delivering a still-born constitutional baby. Is there any rationale for what some of our leaders describe as unnecessary and uncalled for worries?
The Constitutional Review (amendment) legislation of 2013 is important in this process as it is about the setup of the Constitutional Assembly and how the vital link in this national project will operate to come up with the final draft of the eagerly awaited mother law of the land.
The fact that nearly all the MPs belonging to the major opposition political parties walked out of Parliament during voting time on the bill does not portend well for the remaining crucial part of the constitution writing homework.
The Minister for Constitutional and Legal Affairs considers the incident named as storm in a tea cup, arguing that after all the opposition legislators participated in debating the bill, and therefore their declining to vote is not a big deal.
Observers note that much as some leaders in government might downplay this incident, it is likely to have a serious impact on the remaining part of the new constitution writing exercise - especially if the legislators continue to be driven by partisanship along political party lines instead of national interests as they deliberate on these issues.
As the saying goes, a divided house does not stand. Come November this year and another bill on how to conduct a referendum on the new constitution is likely to be tabled in parliament – that is if nothing intervenes to disrupt the schedule put in place to ensure the exercise is concluded by next year. Unless the wounds developed while debating and endorsing the latest bill are healed, then chances are that a replay of the absurd theatre we have witnessed during the August Parliamentary session is inevitable.
One of the things which are certain here is that the issues which have divided our legislators on this legislation can’t simply go away.
The opposition camp thinks the law which seems designed to ensure that in the end the ruling party is likely to enjoy the support of two thirds of the Constitutional Assembly members, after including legislators In the Union Parliament and members of Zanzibar House of Representatives, as well giving powers to the President to have a final say on candidates proposed by other stakeholders, is nothing but a Machiavellian move.
In other words, they smell a rat and will continue to be suspicious until what will transpire during the Constitutional Assembly sessions proves them wrong. Those who read developments of this nature between the lines realize that this is the main bone of contention, and allegations that Zanzibar was not given the opportunity to provide some inputs in the controversial law may simply be a strategy to get support from the isles.
The war of words among politicians as they air views on the constitutional process is also not encouraging consensus among political players as we move to the vital higher steps in this serious undertaking.
For example, of late one of the famous propagandists in the country has been busy telling the World how one of the political parties is on the payroll of foreign governments to do the dirty work of disrupting the constitution making project.
Such wild claims, which under normal circumstances would attract the attention of law enforcers, simply create tension and animosity among political parties which are expected to work together at this critical moment in the country’s history.
Another observation which proves that politicians are determined to mess up the constitution making process is the continuation of platform campaigns, where they seek to influence members of the public to take specific positions on the controversial issues like the union government setup.
This kind of situation is not desirable, but we can’t do much about it. It is all part of the birth pangs of the envisaged new supreme law of our beloved country. With the kind of environment, constitution writing will continue to be complicated.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY