JKT yaongeza nafasi kwa vijana kwa mujibu wa sheria
Na Jimmy Mfuru
3rd October 2013B-pepeChapa
Askari wanafunzi (makuruta) wakiimba wimbo baada ya mufunzo ya kijeshiJeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kuongeza idadi ya vijana 5,278 kwa wahitimu waliomaliza kidato cha sita wanaotakiwa kujiunga na mafunzo hayo kwa awamu ya tatu katika kambi zake kwa mujibu wa sheria.
Kwa mujibu wa tangazo lilitolewa kwenye tovuti ya jeshi hilo jana
No comments:
Post a Comment